TZ CashLineUp Network Marketing ni mtandao ambao unakuwezesha kujiinua kiuchumi mahali popote ulipo Tanzania endapo tuu utakua na vitu vichache ambavyo ni Email, Internet kupitia Simu au Computer na akaunti ya Mpesa tuu. TZ CashLineUp Network marketing ni mtandao ambao mtu unajiunga kwa TSH 12000/= tuu, yaani shilingi efu kumi na mbili tuu.Ambayo hulipwa kwa kutumia Mpesa kwenda namba ambazo Sponsor au aliyekualika kwenye mtandao atakutumia. Unapolipa kiingilio hiki kwa mara moja tuu, utapewa Codes, au tarakimu ambazo utazitumia kufungua account yako mpya kwenye mtandao huu. Kufungua account ni rahisi sana na inahitaji, email, namba ya simu, jina lako kamili, Jina ambalo utapenda kutumia, Codes ambazo utapewa baada ya kulipia fedha za kiingilio na Jina la Sponsor au aliyekualika katika Kampuni. FAIDA: 1.Kila mtu unayemualika baada ya kufungua account yako utalipwa shilingi 6000, Mfano; Umeunga watu 50, itakuwa 50*6000=300000/=. 2.Kila uliyemualika, akialika watu wen...
The real purpose of Life