"Anza mwaka wa 2015 ukiwa mmiliki wa kampuni mpya
ya kidunia iliyofunguliwa na wanachama wa Perfect Internet waliotapakaa dunia
nzima (utawaona kwenye kiungo cha CO-FOUNDERS) kwa kujiunga bure na kualika
wengine wafanye hivyo hadi tarehe 19/02/2015 ambapo fursa hii itatokomea.
JIUNGE SASA UINGIE KWENYE CLUB YA WAMILIKI WA WSS INC BONYEZA HAPA KUJIUNGA
Kampuni inaitwa We Share Success Inc (WSS Inc.) iliyosajiliwa
Las Vegas Marekani ambapo mimi ninaowafahamisheni kuhusu fursa hii nimeteuliwa
kuwa Rais wa Dunia wa kampuni hii.
Utapata faida sana kujiunga na kampuni hii kwa
sababu kampuni hii itamiliki kampuni nyingi na zote zitakuwa za kimataifa na
wewe utakuwa na hisa kwenye kampuni zote hizo kupitia hisa zako kwenye kampuni
hii mama.
Tayari
wanachama waanzilishi wa Perfect Internet
ambao ndio CO-FOUNDERS wa kampuni hii mpya tumeshaanza kugawana mapato
ya mwezi
kutoka kwenye mradi wa awali wa Perfect Internet (wakati ule ulikuwa
ukijulikana kama Wazzub) tangu mwezi September 2014 na kampuni yetu ya
Perfect
Internet itaingia kwenye soko la New York Stock Exchange mnamo mwezi wa
April
mwaka huu hivyo tayari tuna historia ya mafanikio kwenye miradi yetu
ambayo tunataka kuitumia historia hiyo kuwanufaisha wengine pia
watakaojiunga na fursa hii wa WSS Inc.
Kama wewe ni tayari mwanachama wa Perfect
Internet ama kupitia mradi wa Perfect App au tovuti yoyote ile inayomilikiwa na
Perfect Internet, basi unachotakiwa ni ku login tu. Kama sio mwanachama wa
Perfect Internet, basi jiunge kwa ku sign up kwenye sehemu ya FREE REGISTRATION
iliyoko katikati kushoto unapofungua tovuti.
Utapata hisa 10 za bure kwa ku login kama wewe
ni mwanachama wa PI au ku sign up kama wewe si mwanachama. Utapata hisa zingine
5 kwa kila mtu utakayemualika baada ya kujiunga na hisa hizi 5 utazipata kwa
watu watakaoijunga ndani ya mtandao wako kwa vizazi vitano kwenda chini.
Juu ya kukupatia hisa, watu unaowaalika ni asset yako kubwa mno kwenye mtandao wetu. Kwa mfano, mtu uliyemualika akinunua Glasses Free 3D Tablet ya Perfect Internet basi wewe utapata $10. Bidhaa na huduma zingine ambapo utaweza kupata commission kutoka kwenye manunuzi ya watu uliowaalika zitaongezwa baadaye. Vilevile utapata Pointi za Matumizi (Deal Points) na Pointi za Cash (Cash Points) kutokana na matumizi na manunuzi ya watu waliomo kwenye mtandao wako kwa vizazi vitano kwenda chini. Pointi za Matumizi zitakuwezesha kununua vitu na huduma zinazozwa kwenye tovuti yetu nyingine ya Perfect Internet bila kulipa hata senti tano. Utaweza kubadilisha Pointi zako za Cash ama kwenda kwenye Pointi za Matumizi kwa ajili ya kuzitumia kununua vitu au huduma bure au kuzibadilisha kwenye hela taslim ($).
Tumia laptop au computer au tablet kujiungia kwani huwezi kujiunga kwa kutumia simu za kawaida. Kama huna kati ya hivyo nilivyoelezea basi nenda internet cafe ukajiunge.
Juu ya kukupatia hisa, watu unaowaalika ni asset yako kubwa mno kwenye mtandao wetu. Kwa mfano, mtu uliyemualika akinunua Glasses Free 3D Tablet ya Perfect Internet basi wewe utapata $10. Bidhaa na huduma zingine ambapo utaweza kupata commission kutoka kwenye manunuzi ya watu uliowaalika zitaongezwa baadaye. Vilevile utapata Pointi za Matumizi (Deal Points) na Pointi za Cash (Cash Points) kutokana na matumizi na manunuzi ya watu waliomo kwenye mtandao wako kwa vizazi vitano kwenda chini. Pointi za Matumizi zitakuwezesha kununua vitu na huduma zinazozwa kwenye tovuti yetu nyingine ya Perfect Internet bila kulipa hata senti tano. Utaweza kubadilisha Pointi zako za Cash ama kwenda kwenye Pointi za Matumizi kwa ajili ya kuzitumia kununua vitu au huduma bure au kuzibadilisha kwenye hela taslim ($).
Tumia laptop au computer au tablet kujiungia kwani huwezi kujiunga kwa kutumia simu za kawaida. Kama huna kati ya hivyo nilivyoelezea basi nenda internet cafe ukajiunge.
Kwa
nini tutoe hisa za bure? Kwa sababu wanachama watakaojiunga
watatusaidia kuwaalika watu wengine hivyo kupata watu wengi watakaotumia
tovuti zetu na hivyo kuleta traffic kwenye tovuti zetu, kitu ambacho ni
muhimu kwa biashara ya tovuti kwani wafanyabiashara huwa wanaweka
matangazo kwenye tovuti zinazotembelewa na watu wengi. Sababu ya pili ni
kwamba kwa kuwa utakuwa ni mmiliki wa kampuni, basi hutaacha kuwaalika
watu kutembelea tovuti zetu hata baada ya kipindi cha fursa hii kwisha
kwani utapenda kuona watu wengi wanatumia tovuti zetu ili tuweze kupata
traffic ya kutosha na hivyo kuweza kuuza matangazo na deals zingine za
internet.
Hii ni fursa ya kuwa mmiliki wa tovuti nyingi
zitakazofunguliwa na We Share Success Inc. tukianzia na tovuti ya bobl ambayo
kwa sasa ipo kwenye utengenezwaji wake na itakuwa tayari ifikapo 01/03/2015. Tovuti
hii itaendeshwa na kampuni inayoitwa Bobl. Inc. ambayo itakuwa kampuni tanzu ya
We Share Success Inc. Tovuti hii ya bobl itatuwezesha kupata habari za watu
tunaowafuatilia zilizotapakaa katika mitandao mbalimbali kwenye sehemu moja tu
inayoitwa bobl box hivyo itaturahishia upatikanaji wa habari wa watu
tunaowafuatilia kama ma stars, wanasiasa, wanahabari, n.k. Watu watakaowavutia
watu wengi kuwafuata kwa ajili ya kupata habari zao ndani ya tovuti hii ya bobl
wataweza kulipwa mapato yanayoitwa bobl cash ambayo yatatolewa kama
asilimia ya
matangazo yanayolipiwa kwenye tovuti hii. Hivyo kwa watu watakaotumia
tovuti hii kuwapasha washabiki wao habari zao zilizotapakaa mitandao
mbalimbali wataweza kulipwa na tovuti kwa habari walizoziweka kwenye
tovuti nyingine ambako hawalipwi kitu.
Siku hiyo ya ufunguzi wa tovuti ya bobl, kutakuwa na Sherehe ya Ufunguzi wa Bobl (Bobl Release Party) itakayofanyika Las Vegas Marekani katika ukumbi maarufu wa Tommy Wind Theater. Kesho yake kutakuwa na Live Show ya wasanii katika categories mbalimbali (Singers, Show Acts, Dancers, Comedians, Bands, Magicians na Veriety) wanaoshiriki na kupata kura nyingi kwenye mashindano yetu ya wasanii ya dunia yanayofanyika mtandaoni yanayofanyika hapa.
Kutokana na ubunifu unaoletwa na tovuti ya bobl basi watu wengi watakuja kujiunga na hii tovuti lakini wakati huo fursa hii ya kuwa wamiliki wa kampuni itakuwa imeshapita hivyo watakuwa wanachama tu kama zilivyo tovuti nyingine.
Siku hiyo ya ufunguzi wa tovuti ya bobl, kutakuwa na Sherehe ya Ufunguzi wa Bobl (Bobl Release Party) itakayofanyika Las Vegas Marekani katika ukumbi maarufu wa Tommy Wind Theater. Kesho yake kutakuwa na Live Show ya wasanii katika categories mbalimbali (Singers, Show Acts, Dancers, Comedians, Bands, Magicians na Veriety) wanaoshiriki na kupata kura nyingi kwenye mashindano yetu ya wasanii ya dunia yanayofanyika mtandaoni yanayofanyika hapa.
Kutokana na ubunifu unaoletwa na tovuti ya bobl basi watu wengi watakuja kujiunga na hii tovuti lakini wakati huo fursa hii ya kuwa wamiliki wa kampuni itakuwa imeshapita hivyo watakuwa wanachama tu kama zilivyo tovuti nyingine.
Tovuti nyingine zitaanza kuundwa mara
baada ya hii ya bobl kukamilika na wewe utakuwa mmiliki wa tovuti zote hizi.
Kila tovuti itakuwa na kampuni yake inayoiendesha na hiyo kampuni itamilikiwa
kwa kiasi kikubwa na kampuni mama ya WSS Inc. hivyo ukikosa fursa
hii ya kuwa mmiliki wa hii kampuni mama ya WSS Inc.. utakuwa
umepoteza fursa kubwa mno.
Tunatarajia kuanza kugawana faida kama wamiliki
wa kampuni hii ya WSS Inc. kuanzia mapato ya mwezi wa March 2015
ambayo yatatokana na mradi wa bobl (utauona kwenye kiungo cha PROJECT ukifungua tovuti yetu) ambayo
yatalipwa katikati ya mwezi April 2015 na kila mwezi baada ya hapo. Vyanzo vingine
vya mapato vitafuata kutoka kwenye tovuti nyingine zitakazotengenezwa mara
baada ya tovuti hii ya bobl kukamilika. Tutakuwa tunalipwa gawio la mwezi hadi
ifikapo mwisho wa mwaka 2015 tutakapoingia kwenye New York Stock Exchange
ampapo wanahisa watakaotaka kuuza hisa zao wataweza kufanya hivyo na wale
watakaotaka kubakia na hisa zao ili waendelee kupata gawio (dividend) la mara
kwa mara wataweza kufanya hivyo.
Utaweza ku apply Bobl Debit Card ambapo malipo
yako yatakuwa yanalipwa. Utaweza kuiagiza Bobl Debit Card mapato yako
yatakapofikia angalau $50 ambapo $25 ni kiwango kidogo utakachoweza kulipwa
kwenye Bobl Debit Card yako na $25 ni gharama ya ku process Bobl Debit Card.
Utakuwa na uhuru wa kuiunganisha Bobl Debit Card yako ilipie moja kwa moja kwenye
Account yako ya benki utakayoielezea au malipo yafanyike kwenye Bobl Debit Card
yako ambapo utaweza kutoa hela kwenye ATM Mashine popote pale duniani
iliyounganishwa na mtandao wa Master Card kama vile CRDB, Citbank, NBC, NMB,
n.k. au kutumia hiyo Bobl Debit Card kulipia malipo katika maduka yanayokubali
kulipwa kwa Master Card ambapo utapata discount unaponunua kutumia Bobl Debit
Card (Master Card).
Wakurugenzi
wa kampuni hii wametoka kutoka katika mabara yote ya dunia na mimi
nikiwa Rais wao. Utawaona katika kiungo cha DIRECTORS utakapofungua
tovuti yetu. Hawa ndio wakurugenzi wa kampuni.
Anza mwaka ukiwa na matumaini mapya kwa kuwa
mmiliki wa kampuni ya dunia ambayo ina uwezo wa kukufanya uwe unajitegemea
kabisa katika maisha yako ukiwa kama mmiliki na sio mwajiriwa.
Ndugu zangu Watanzania, amkeni mchangamkie fursa
za dunia kwani mkiwa nyuma basi hii ni njia mojawapo ya taifa letu kunyonywa
pia kwani wafanyabiashara wetu lazima wataweka matangazo kwenye tovuti hizi na
mgawanyo wa mapato utaenda kwa raia wa mataifa mengine waliochangamkia fursa
hii ya kuwa wamiliki wa kampuni!!!
Utapata kiungo chako cha kualikia watu ukisha
login kama wewe tayari ni mwanachama au ukishajiunga kama wewe ni mwanachama
mpya katika sehemu inayoitwa Main Page. Mtu akijiunga na kiungo hicho basi
anakuwa chini yako na unapata hisa 5. Usitumie kiungo kingine kualikia watu
zaidi ya hicho kwani hautapata hisa.
Ukishabonyeza,
tovuti itafunguka. Kama wewe ni mwanachama wa Perfect Internet tayari
basi Bonyeza Login ili uweze kulogin na kupata hisa zako 10.
Kama
wewe sio mwanachama wa Perfect Internet basi katikati kushoto chini ya
picha ya watu utaona maneno yenye rangi ya blue yameandikwa FREE
REGISTRATION. Kwenye FIRST NAME utajaza jina lako la kwanza, LAST NAME
utajaza jina lako la ukoo, EMAIL utaweka barua pepe yako, USERNAME
utaweka nick name yako ya kutumia kwenye tovuti, PASSWORD utaweka maneno
yako ya siri ya kuingilia kwenye tovuti, RETYPE PASSWORD utayarudia
hayo maneno ya siri, Country utafungua menu kulia halafu utachagua
Tanzania (kama wewe ni Mtanzania), halafu utabonyeza kiungo cha SIGN UP
ili kujiunga. Baada ya hapo hapo ukurusa mfupi (Pop up window)
utafunguka ambapo ama utakuwa na masharti ya wewe kuyakubali hivyo
utashuka chini na kubonyeza I AGREE au kutakuwa na capta ya kujaza namba
za siri ili kuthibitisha kwamba wewe sio robot au vyote viwili. Baada
ya hapo utakuwa umemaliza process ya kujiunga. Utaona umepata hisa 10.
Utashuka chini kwenye eneo la Main Page utakuta kiungo chako maalum cha
kualikia watu. Utaki copy na kuki paste mahala unapotaka kukituma kwa
ndugu, jamaa, rafiki au mtu mwingine yeyote yule ili ajiunge chini yako
na hivyo kupata hisa zingine 5 kwa kujiunga kwake" Nukuu kutoka kwa "Biznocrats, Wawekezaji WSS Inc."
Comments
Post a Comment