Ni dhahiri kwamba kila mwanadamu, anajisikia vizuri kumpata mtu atakae mpenda kwa moyo wa dhati bila kuumiza daima. Hivyo basi, ni jambo la muhimu sana kuchagua mtu pekee unayeendana nae ili kumkabidhi moyo wako milele.
Hakika kila mtu anafahamu utamu na raha ya kupendwa, na kama bado hujafahamu utamu huo hakika iko siku utaufahamu.Yafuatayo ni baadhi ya mambo kidogo ambayo unatakiwa kuafanya ile uweze kudumu na mpenzi wako milele;
WANAUME:
Siku Zote Uwapo Katika Mapenzi Fahamu Kuwa Unapaswa Kumridhisha Mpenzi Wako Katika Tendo. Mfanye Ajisikie Raha Pindi Muwapo Chumbani Inakubidi Ujitahidi Kuwa Mbunifu Katika Mapenzi Kwa Kujituma Pindi Mnapokuwa Chumbani Na Mpenzi Wako, Jaribu Kushughulika Tumia Viungo Vyako Vya Mwili Katika Kuamsha Hisia Za Mwandani Wako Kabla Ya Kuanza Nae Kufanya Mapenzi Ili Kuhakikisha Mpenzi Wako Anapata Raha Na Inakuwa Ni Njia Nzuri Ya Wewe Kumfanya Mpenzi Wako Ahisi Kuwa Wewe Ni Muhimu Kwake Kutokana Na Mahaba Unayompa.
WANAWAKE:
Ambao Wapo Katika Mahusiano Ya Kimapenzi Wajaribu Kuwa Wabunifu Katika Mapenzi, Mpe Mpenzi Wako Mapenzi Yote Toka Moyoni Mwako. Usidanganywe Kuwa Mapenzi Ni Mitishamba, Hakuna Dawa Ya Mapenzi Kwa Mganga Ila Dawa Unayo Wewe Mwenyewe Mridhishe Mpenzi Wako Kwa Kumpa Vitu Vipya Katika Mapenzi Halafu Uone Je, Penzi Lako Kwa Mwenza WakoUtachangia Na Wenzako?
JE UNAHITAJI KUONGEZA KIPATO CHAKO KWA KUWA MMOJA KATI YA MAMILIONEA WAKUBWA DUNIANI WENYE KUMILIKI MAKAMPUNI MAKUBWA?NI RAHISI SANA, JIUNGE LEO BURE NA KUPATA SHARE PINDI TUU BAADA YA KUJIUNGA.
KUJIUNGA BONYEZA LINK IFUATAYO;www.wesharesuccess.com/?refid=0341466e0e
Comments
Post a Comment