Ni kama mzaha lakini uchunguzi wa kisayansi unaonesha hivo.
Watalaam wamegundua kujamba kuna faida za kupunguza uwezekano wa kupata saratani na shambulio la moyo vile vile kunusa halufu ya mtu aliyejamba inasaidia ubongo kufanya kazi vizuri na kupunguza uwezekano wa kupata ugonjwa wa Dementia... Tujambe jamani kuboresha afya zetu
Comments
Post a Comment