Baba: Unampenda nani zaidi kati yangu mimi na mama yako?
Mtoto: Nawapenda wote.
Baba: Kama nikienda Marekani na mama yako akaenda Paris, wewe ukaambiwa umfuate mmoja utaenda wapi?
Mtoto: Paris.
Baba: Okay kwahiyo unampenda zaidi mama yako, sio?
Mtoto: Hapana, kwa sababu naipenda zaidi Paris.
Baba: Okay, na mimi nikienda Paris na mama yako akaenda Marekani wewe utaenda wapi?
Mtoto: Nitaenda Marekani.
Baba: [kwa hasira] Kwanini wakati umesema unapenda zaidi Paris?
Mtoto: Kwa sababu nitakua tayari nimeshaenda Paris.
Baba: Pumbavu, umeenda lini Paris.
Mtoto: Kwenye swali la kwanza ulilouliza.!
😂😂😂
Comments
Post a Comment