Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2015

DOWNLOAD NEW SONG(DIAMOND FT P-SQUARE)

These song is real amazing.To download or listen to it, click the link below; Download Diamond ft P-square, new track DOWNLOAD HERE  

MBINU KABAMBE ZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKUPENDE MILELE

Ni dhahiri kwamba kila mwanadamu, anajisikia vizuri kumpata mtu atakae mpenda kwa moyo wa dhati bila kuumiza daima. Hivyo basi, ni jambo la muhimu sana kuchagua mtu pekee unayeendana nae ili kumkabidhi moyo wako milele. Hakika kila mtu anafahamu utamu na raha ya kupendwa, na kama bado hujafahamu utamu huo hakika iko siku utaufahamu.Yafuatayo ni baadhi ya mambo kidogo ambayo unatakiwa kuafanya ile uweze kudumu na mpenzi wako milele; WANAUME:     Siku Zote Uwapo Katika Mapenzi Fahamu Kuwa Unapaswa Kumridhisha Mpenzi Wako Katika Tendo. Mfanye Ajisikie Raha Pindi Muwapo Chumbani Inakubidi Ujitahidi Kuwa Mbunifu Katika Mapenzi Kwa Kujituma Pindi Mnapokuwa Chumbani Na Mpenzi Wako, Jaribu Kushughulika Tumia Viungo Vyako Vya Mwili Katika Kuamsha Hisia Za Mwandani Wako Kabla Ya Kuanza Nae Kufanya Mapenzi Ili Kuhakikisha Mpenzi Wako Anapata Raha Na Inakuwa Ni Njia Nzuri Ya Wewe Kumfanya Mpenzi Wako Ahisi Kuwa Wewe Ni Muhimu Kwake Kutokana Na Mahaba Unayom...

JUICE BORA ZA MATUNDA NA FAIDA ZAKE KATIKA KUBORESHA AFYA YA MWILI

Juisi ni kinywaji bora na maarufu duniani, lakini ni vyeme ukajua juisi ipi ina faida mwilini na ipi haina faida yoyote. Katika zama tulizonazo, kumezuka aina nyingi za vinywaji vinavyoitwa juisi, wakati si juisi bali ni vinywaji vyenye ladha ya matunda mbalimbali. Juisi ni kinywaji kilichotengenezwa kutokana na tunda halisi au mboga na si mchanganyiko wa maji na kemikali nyingine zenye ladha ya matunda na kupewa majina kama juisi ya machungwa, nanasi, zabibu, n.k. Mara nyingi vinywaji hivyo huwekewa sukari na kemikali nyingine za kuhifahdia (preservertives) ili zisiharibike, ambavyo kiafya havikubaliki. Licha ya kutumia jusi halisi kama kinywaji tu, juisi pia hutoa kinga na tiba kwa maradhi mbalimbali. Iwapo mtu atatengeneza mchanganyiko maalum wa matunda na kutayarisha juisi maalum na kuinywa, anaweza kupata kinga na tiba ya matatizo mbalimbali ya kiafya kama ilivyoanishwa hapa chini: KAROTI+ KITUNGUU SWAUMU + EPO Juisi ya mch...

BADILI MAISHA YAKO KIUCHUMI, KWA KUJIUNGA BUREEH NA KAMPUNI KUBWA DUNIANI(WESHARESUCCESS)

" Anza mwaka wa 2015 ukiwa mmiliki wa kampuni mpya ya kidunia iliyofunguliwa na wanachama wa Perfect Internet waliotapakaa dunia nzima (utawaona kwenye kiungo cha CO-FOUNDERS) kwa kujiunga bure na kualika wengine wafanye hivyo hadi tarehe 19/02/2015 ambapo fursa hii itatokomea. Kampuni inaitwa We Share Success Inc (WSS Inc.) iliyosajiliwa Las Vegas Marekani ambapo mimi ninaowafahamisheni kuhusu fursa hii nimeteuliwa kuwa Rais wa Dunia wa kampuni hii. Utapata faida sana kujiunga na kampuni hii kwa sababu kampuni hii itamiliki kampuni nyingi na zote zitakuwa za kimataifa na wewe utakuwa na hisa kwenye kampuni zote hizo kupitia hisa zako kwenye kampuni hii mama. Tayari wanachama waanzilishi wa Perfect Internet ambao ndio CO-FOUNDERS wa kampuni hii mpya tumeshaanza kugawana mapato ya mwezi kutoka kwenye mradi wa awali wa Perfect Internet (wakati ule ulikuwa ukijulikana kama Wazzub) tangu mwezi September 2014 na kampuni yetu ya Perfect Internet itaingia kwenye soko l...

AINA ZA MATUNDA YENYE KUIMARISHA NA KUONGEZA MVUTO WA NGOZI YA MWILI

  APPLE: Hili ni tunda maarufu sana duniani lihusishwalo na wapendanao, lakini tunda hili pamoja na kupewa umaarufu mkubwa duniani na kuwa na vitamini na madini kibao, pia lina kazi kubwa sana katika kukupa muonekano mzuri wa ngozi ya mwili wako.Tunda hili husaidia kuboresha mzunguko wa damu mwilini pamoja na kuhifadhi ngozi isipoteze uhalisia wake.   PAPAI: Ni tunda sahihi kabisa katika kukupa ngozi yenye mafuta, kurudishia au kuziba sehemu zilizoumia na kunyofoka katika ngozi yako. Papai pia hunga'arisha rangi ya ngozi yako, yote haya hufanyika na enzyme inayotokana papai ambayo huitwa papain. Endapo kama unataka kutumia papai katika ngozi yako ya uso, basi chukua asali changanya na papai lililo iva na paka usoni kwako kwa dakika 10 kisha safisha, kisha utaona kitakachotokea katika uso wako, utaonekana kama ngozi ya mtoto wa siku mbili.   AVOCADO: Tunda hili limekuwa maarufu sana kwa kutengenezewa juice, lakini huenda watu wakawa ha...