Skip to main content

Posts

M2MCrowdfund payplan

How It Works Level 1 - 2 X 0.025 btc (0.05 btc) 0.04 btc upgrade to level 2 (0.01 btc Profit)   Level 2 - 4 X 0.04 (0.16 btc) 0.10 btc upgrade to level 3 (0.06 btc Profit)   Level 3 - 8 X 0.10 (0.80 btc) 0.20 btc upgrade to level 4 (0.60 btc Profit)   Level 4 - 16 X 0.20 (3.20 btc) 1.00 btc upgrade to level 5 (2.20 btc Profit)   Level 5 - 32 X 1.00 (32.00 btc)   Donations Sent - 1.365 BTC Donations Received - 36.21 BTC   Profit - 34.845 BTC   Join now because it just started 2 days ago. https://www.m2mcrowdfund.com/ref/79b3fe1a64/register  
Recent posts

DIAMOND FT PSQUARE NEW PROJECT RELEASED

 

YAJUE HAYA UFANIKIWE KIUCHUMI

ACHA KUFANYA MAMBO HAYA NA UTAFANIKIWA 100% 1. ACHA KUWA NA MARAFIKI WANOKUPOTEZEA MUDA Watu wengi tumekuwa na marafiki wengi sana na marafiki ni mhimu sana katika maisha yetu haya wapo wanaotufaa na wasiotufaa kuwa na marafiki wanao weza kukusaidia na kukupa hamasa ya kimaendeleo ,malengo yako na kuwa na maisha Fulani. Hivyo achana na marafiki wasio kuwa na msaada kwako. 2. ACHA KUKIMBIA MATATIZO YAKO Waswahili wanasema kuwa “kukimbia tatizo si kutatua tatizo” Hivyo basi kama tatizo umekutananalo basi tafuta njia ya kulitatua tatizo hilo kwani matatizo hayaji kuisha katika dunia hii kama unakimbia utakimbia mangapi ? unatatizo la pesa kwanini usitafute pesa ila kama hufanyi kazi unategemea kupata pesa huwezi. Matatizo hayaepukiki komaa na ulitatue utajikuta kama uko peke yako katika hii dunia lakini kuna watu wana matatizo zaidi yako na wanahangaika kuyatatua. 3. ACHA KUJIDANGANYA MWENYEWE Katika maisha ya sasahivi unaweza kumdanya mtu yoyote yule lakini ogopa sana ku...

WANAUME WENYE VIUNO VIKUBWA HATARINI KUPATA TEZI DUME

Wanaume wenye viuno vikubwa wako hatarini kupata saratani ya tezi dume ,utafiti umebaini. Utafiti huo ulifanywa kwa watu 140,000 kutoka mataifa nane ya Ulaya na kubaini kuwa viuno vikubwa huongeza uwezekano wa mtu kupata saratani hiyo kwa asilimia 13. Utafiti huo uliowasilishwa katika mkutano wa ugonjwa wa kunenepa uliofanyika mjini Gothenburg nchini Sweden uliangazia ushirikiano wa vipimo vya mwili miongoni mwa wanaume walio katika umri wa miaka 50 na hatari za saratani ya tewzi dume katika kipindi cha miaka 14.(BBC)

ZINGATIA HAYA KABLA NA BAABA YA KUOA

ZINGATIA HAYA KABLA NA BAABA YA KUOA Kabla ya kuoa unapaswa kujiuliza maswali mengi na ukipata majibu ndio uamue kuoa, kwanza jiulize kwa nini unaoa? je umeandaa mazingira ya mke au umejiandaa kua mme? ndugu zangu mabibi na mabwana, ndoa sio ngoma kua kila mtu anaweza kuicheza, ndoa ni kipindi kigum sana, ndoa ni kipindi cha mwisho cha maisha ya mwanadam, kipindi ambacho kinahitaji uvumilivu, unyenyekevu na uthamini wa mwenzi. siku hizi alie kwenye ndoa anatamani kutoka na ambae hajaingia anatamani kuingia, 😂😂😂😂 hiki ni kituko. wakati huohuo wazinzi na waasherati wao kauli yao moja tu, BADO NIPO NIPO SANA, wengine utawasikia wakisema "kama maziwa napata kuna haja gani ya kufuga ng'ombe? Ndugu, marafiki, na jamaa, tambueni kua Ndoa ina umhimu mkubwa sana katika maisha ya mwanadam japo leo naongelea haya ambayo kama hutayazingatia daima utabaki kua mmiliki wa mkeo lakini dareva wa mkeo atakua mtu mwingine................. ...

BILIONEA AMZIKA MAMA YAKE NDANI YA GARI(HAMMER)

BILIONEA WA KINIGERIA AMZIKA MAMA YAKE NDANI YA HAMMER BADALA YA SANDUKU Check picha

FAHAMU FAIDA ZA KUJAMBA

Ni kama mzaha lakini uchunguzi wa kisayansi unaonesha hivo. Watalaam wamegundua kujamba kuna faida za kupunguza uwezekano wa kupata saratani na shambulio la moyo vile vile kunusa halufu ya mtu aliyejamba inasaidia ubongo kufanya kazi vizuri na kupunguza uwezekano wa kupata ugonjwa wa Dementia... Tujambe jamani kuboresha afya zetu